Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Wale walikubali kujiuzulu, hawa akina Mongo wamegoma kujiuzulu.Kwa hyo waziri hawajibiki kwa bunge? Iweje wakati wa oparesheni tokomeza mawaziri waliwajibika kwa bunge bila kusubiri uamuzi wa mamlaka ya uteuzi wao? Au hizi sheria zikoje? Tundu Lissu nisaidie kwa hili tafadhari mimi ni bush lawyer kama makinda
Kwa hyo waziri hawajibiki kwa bunge? Iweje wakati wa oparesheni tokomeza mawaziri waliwajibika kwa bunge bila kusubiri uamuzi wa mamlaka ya uteuzi wao? Au hizi sheria zikoje? Tundu Lissu nisaidie kwa hili tafadhari mimi ni bush lawyer kama makinda
Ha ha ha ha ha ha ha........Jamaa kachanganyikiwa. Anaamini yeye bado waziri. Mwenye uwezo wa kumvua madaraka ni Rais tu na siyo wahuni wa bunge. Hawezi kubabaishwa na Wahuni na Wala Rushwa. Yeye ni waziri na atabaki kuwa waziri hadi pale Rais atakaposema basi... Hapa Dodoma watu wanamuona wazimu na hii jeuri yake ya kitoto. Haamini kwamba bunge imemvua madaraka ya uwaziri
Alitaka kushindana na nguvu ya pesa sasa anakiona cha mtema kuni. Akitolewa tu utasikia Mengi kamegewa kipande cha gesi