CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,588
- 1,395
Muhindi mmoja alisilimishwa na Sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakuwa unakula na shetani,basi yule muhindi kuna kipindi akajisahau kupiga Bismillah kwa miezi kama miwili hivi,basi shetani akamfuata Sheikh akamwambia mkumbushe muhindi kupiga Bismillah kwa sababu ataniua kwa pilipili
bravo
nimetabasamu!
Bismilah haifukuzi shetani!
Bali inafanyaje?Bismilah haifukuzi shetani!
Nilikuwa nasoma huku navuta picha niliyoiona kwenye vichekesho vya Channel Ten...
Acha upuuzi wewe..
Bali inafanyaje?
Ndio Nyie wajinga wachache mnaotaka kutuletea matatizo watanzania na hizi dini zenu za kukaririshwa na kuletewa na watu weupe,sijui mkoje...natamani ningewachuja wadini wote nchi hii tukae kwa amani sisi wabantu.choma kanisa lililojirani na wewe kama ume-mind kivile