KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
wajameni nawaomba bandugu
umesema EDGE...??0.000000B/sec
umesema EDGE...??0.000000B/sec
Jamani nawaomba msaada natumia simu aina ya ZTE U880E ni adroid version namba 2.3.7 na kuna mahali kwenye seting nikiangalia wameandika mobile netwok type EDGE sasa kiukweli hii simu ipo slow sana kwenye internet yani mpaka naboleka naamini jf ndo karibu kila kitu kwangu na kuna watu wa kila aina imani yangu nitafanikiwa japo wapo watakaonikebehi msaada tafadhali
kaka hizi tarakimu *#*#4636#*#* zpo sahihi kwelipiga *#*#4636#*#* nenda kwa phone information na uchague wcdma preffered lkn zingatia pia mahali ulipo panapatikana 3G. KALYOVATIPI
hiyo simu yako haina mfumo wa 3G chotechote utachofanya ni kazi bure kwa ushauri tumia voda au smart 2G yao iko vizur
KALYOVATIPI
Hii post sio ya leo mkuu!#1
Feb 26, 2013