Muhimu kwa waoaji na waolewaji.

Muhimu kwa waoaji na waolewaji.

Alex77

Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Habari zenu wana Jamii,

Niko hapa leo nadhani hii ndio post yangu ya kwanza hapa, na kilichonifanya ku-post ni kwasababu ya hi lugha ambayo imeenea sana sasa hivi humu mjini eti ''Ni kheri ukosee kujenga nyumba, au ukosee chochote kile lakini sio kukosea kuoa/KUOLEWA''


KWANINI USIOGOPE KUKOSEA KUOA.?!

Ogopa kutokufanya maamuzi ya kutokosea na kuchukua hatua sahihi za kumpata mwenzi sahihi zilizoko ndani ya neno la Mungu. Usiogope kutofanya maamuzi mabaya bali ogopa kutofanya bidii kuwa na maarifa sahihi yatakayo kufanya kuepuka maamuzi yasiyokuwa sahihi.

Sababu kubwa haswa ya Mungu kukupa neema ya kusoma jumbe kama hii kablahujaoa/hujaolewa ni ili usifanye makosa na ukatumia muda wako hapa duniani ukijuta . Kumbuka kuna wenzako ambao wamesha oa/kuolewa tayari lakini wanaishia kutamani nafasi ya kuwa -single kama awali.

Mungu anasema ; ''Sii lazma aje na sauti kubwa kama ya maji mengi.''

Ni vibaya kiasi gani Dada/kaka yangu usomae ujumbe huu kukosea baadae kwenye kuoa/kuolewa wakati ni tayari unapata maarifa namna hii.??


:A S angel:
#KaziNiKwako
 
Join Date : 17th July 2013
Location : Dar es salaam, Tanzania.
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

Daah.!! Kiongozi we ni mbayaa sana, umetisha aisee.!
 
Alex77 mbona wewe upo kitambo jamvini?sema nimekuangalia hapa umebadili tu ID mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom