Kwa wale wa maweaving na maless wigs panawahusu hapa
na sidiria zenu muwe mnafua, juzi kwenye daladala kapanda mdada mmoja mrembo kuingia hakuna siti ikabidi apige lile pozi la konyagi, blouse yake ilikua sleeve less alipoinua mikono ile sidiria nyeupe ikaonekana ila kwa uchafu imekuwa kama chuma kimepata kutu, moyoni nikajiuliza sijui kyupi kinahali gani!

na usafi pia usizidi kipimo unakuwa kero... hapa nawalenga wadada mnajipulizia body spray kali tena kwa wingi, si kila mmoja anaipenda hiyo harufu yake, na hata kama ni nzuri ikizidi sana inakuwa kero...yani unakuta akiingia hivi ndani chumba chote hali ya hewa inabadilika...
jipulizie kidogo tu inatosha.
Mfano kuroothum
na sidiria zenu muwe mnafua, juzi kwenye daladala kapanda mdada mmoja mrembo kuingia hakuna siti ikabidi apige lile pozi la konyagi, blouse yake ilikua sleeve less alipoinua mikono ile sidiria nyeupe ikaonekana ila kwa uchafu imekuwa kama chuma kimepata kutu, moyoni nikajiuliza sijui kyupi kinahali gani!
Kwa wale wa maweaving na maless wigs panawahusu hapa
Ni kweli, asante kutukumbusha. Na maeneo mengine pia tuyasafishe mara kwa mara
Ina maana wewe ni 'kipara?'