ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,286
- 1,131
Majaji na mahakimu wa Tanzania hata kiingereza shidaa. Ukisoma hukumu zao wanazoziandika Kwa kiingereza unatamani kulia. Ni huruma tupu. Majitu ya aina hii kwanini wasiburuzwe na mhimili wa serikali maana wenyewe hawajitambui. Mbaya zaidi mawakili wa Serikali ndiyo hovyooo kabisa. Sijui wanaajiriwa kwa vigezo vipi. Kichwani boga tu.Serikali yetu ya JMT ina mihimili mikuu mitatu ambapo leo naomba nijikite kwenye huu muhimili mahakama, kiukweli huu muhimili ni sanamu nasema hivi kwa kurejea kilichotokea Kenya katika kesi ya kupinga uchaguzi ambapo mahakama imebatilisha uchaguzi ambao ulimuweka raisi madarakani kwa hapa kwetu huu ni muhimiki unaendeshwa kwa amri kutoka kwenye watu wenye ushawishi mkubwa kifedha na madaraka naangalia watu wanavyolumiwa mahakamani kwa kukosa ushawishi wa kiuchumi ama wa kimamlaka kifupi sio mihimili huru tunashindwa kuwaheshimu hawa wanasheria mawakili mahakimu kwani kwani tunajua shauri likifika kwao wanakuwa hawana mamlaka ya kuamua chochote bali kwa kufuata ushawishi wa mwenye shauri lake....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinitoe kwenye hoja sijaitaja kwa kusudi maalum kwa kikristo inaitwa legislature, judiciary na executive ukiitaja kwa kiswahili unaji contradict......turudi hoja mkuu"Serikali yetu ya JMT ina mihimili mikuu mitatu"
itaje hiyo mihimili mitatu
Naomba tafsiri ya neno dola utakuwa umenishangaza.Si mahakama tu bali hata bunge pia ndo kabisaaaaa! Hapa ni kila kitu maagizo ya rais. Ndugai na mwenzake Tulià ni kama wanasesere tu. Tanzania tuna mhimili mmoja tu na umejiçhimbià chini kabisa. Huenda hata mahakama kuna unafuu bunge ndilo la kitoto kabisa
Sio mihimili ya Serikali, ni mihimili ya Dola kwani Serikali ni mhimili mmojawapo wa dola.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakamaimetoa amri nyumba zisivunjwe Morogoro Road, watu wamevunja "kwa amri kutoka juu". Na mpaka sasa sijasikia lolote.Serikali yetu ya JMT ina mihimili mikuu mitatu ambapo leo naomba nijikite kwenye huu muhimili mahakama, kiukweli huu muhimili ni sanamu nasema hivi kwa kurejea kilichotokea Kenya katika kesi ya kupinga uchaguzi ambapo mahakama imebatilisha uchaguzi ambao ulimuweka raisi madarakani kwa hapa kwetu huu ni muhimiki unaendeshwa kwa amri kutoka kwenye watu wenye ushawishi mkubwa kifedha na madaraka naangalia watu wanavyolumiwa mahakamani kwa kukosa ushawishi wa kiuchumi ama wa kimamlaka kifupi sio mihimili huru tunashindwa kuwaheshimu hawa wanasheria mawakili mahakimu kwani kwani tunajua shauri likifika kwao wanakuwa hawana mamlaka ya kuamua chochote bali kwa kufuata ushawishi wa mwenye shauri lake....
Sent using Jamii Forums mobile app