Mkuu kwa hospitali za Tanzania na sio KCMC pekee, Muhimbili inaongoza, na sababu kubwa ni kwamba ni hospitali ambayo vifaa tiba vingi na vya kisasa vipo pale, Dr ni wengi na serikali kila kukicha inajaribu kuboresha miundombinu tiba.Naomba kujua hospital ya Muhimbili na KCMC wapi wapo vizuri kimatibabu pia kwa madaktari bingwa, ukubwa, usafi, na huduma muhimu.
Kuuliza si ujinga, kama huwezi kunijuza usisome siyo lazima.
sedKuvalisha yenyewe hadi ulazimishe. Kwa nn usipate shida. Nikivaa mpira nahesabu sijagegeda
Kuvalisha yenyewe hadi ulazimishe. Kwa nn usipate shida. Nikivaa mpira nahesabu sijagegeda
mkuu unalinganisha Bugando na KCMC hii iliyokuwa inatamba miaka yote?Muhimbili ni kila kitu mkuu kwa Taifa letu! KCMC sasa ivi imezidiwa hata na Bugando hosp
Ndio ivyo mkuu, bahati nzuri kote nimefika, ndugu zangu wamepatiwa matibabu hapo... Nakuambia hata Ndanda hosp soon itakuja kuwa zaidi ya KCMCm
sed
mkuu unalinganisha bugando na kcmc hii iliyokuwa inatamba miaka yote?
Mkuu acha kupotosha umma wewe. Eti soon Ndanda itakuja kuizidi KCMC. Ukweli ni kwamba,MUHIMBILI ndo hospital kuu hapa nchini ikifuatiwa na KCMC baadae Bugando.Ndio ivyo mkuu, bahati nzuri kote nimefika, ndugu zangu wamepatiwa matibabu hapo... Nakuambia hata Ndanda hosp soon itakuja kuwa zaidi ya KCMC
daa jamaa kanishangaza Ndanda!? hv hajui Kuna peramiyo, seliani, mbeya nkMkuu acha kupotosha umma wewe. Eti soon Ndanda itakuja kuizidi KCMC. Ukweli ni kwamba,MUHIMBILI ndo hospital kuu hapa nchini ikifuatiwa na KCMC baadae Bugando.
Una hila zako mwenyew kuhusu Kcmc lakini ni moja Kati ya Hospital nzuri na makini nchini.
Hospitali ya RUFAA ya TAIFA ya Muhimbili.Naomba kujua hospital ya Muhimbili na KCMC wapi wapo vizuri kimatibabu pia kwa madaktari bingwa, ukubwa, usafi, na huduma muhimu.
Kuuliza si ujinga, kama huwezi kunijuza usisome siyo lazima.
Nafikiri baada ya Muhimbili,kcmc,Bugando inafuata Ikonda Njombe.daa jamaa kanishangaza Ndanda!? hv hajui Kuna peramiyo, seliani, mbeya nk