Muhimbili hali ni ngumu!

Kwa tarifa iliyo rasmi kitengo cha MOI pale Muhimbli kimezidiwa na wagonjwa na wameiomba serikali itoe fedha ili wapanue kama sio kujenga hospitali nyingine kubwa lakini wamekataliwa na badala yake wahindi( ma*********) kutoka India wamepewa ruhusa ya kujenga hospitali yao ya Apollo kule maeneo ya chuo kikuu kwa fedha za wafanyakazi wazawa( NSSF ) Swali Je! ni watanganyika wangapi watakuwa na uwezo wa kutibiwa katika hii hospitali ya Apollo itakayojengwa kwa fedha za watanzania?
 
Natamani al shabab wavamie uwanja yatakapofanyikia maadhimisho ya miaka 50, wawateketeze wooote!
 
kwa viwango vyetu TZ hiyo dispensary hairuhusiwi kuwa hata na kitanda cha kulaza mgonjwa, ungesema MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL ungekuwa sahihi.

Na wewe basi unatakiwa uwe mwelewa unataka utafuniwe kila kitu? Katumia neno "Dispensary" akiwa na maana yake. Anaibeza Muhimbili maana jina tu, kumbe uozo mkubwa, eti hospitali ya rufaa, rufaa mavi.
 
Hawa viongozi wetu wanajali nini, wanajali maslahi yao na mitumbo yao washenzi wakubwa hawa, inatia hasira sana kwa Hospitali kubwa ya Taifa kukosa vitu vya muhimu kama hivyo. Mimi nilikuwa na mgonjwa pale, eti hata maji hakuna mtu unatoka nyumbani na maji kwa ajili ya mgonjwa wako apate kuoga, Kweli Mungu atawalaani wao wanadhani masihara lakini siku ipo tu watakiona , hawawajali walalahoi kwa sababu wao wanaweza kwenda kutibiwa nje ya nchi kwa kodi zetu,laiti nao wangekuwa wanalazwa pale ndio wangejua uchungu. Wagonjwa wanalala chini neti zenyewe utadhani sijui nini. Ee Mungu tuhurumie na tuondolee washenzi hawa wanaojijali wenyewe, tupe viongozi wanaojali walalahoi
 


Wenyewe wenye nchi wanatibiwa nje ya nchi hivyo hawaoni umuhimu wa kuhakikisha hospitali muhimu kama Muhimbili inakuwa na vifaa muhimu vya utendaji wa kazi zao za kila siku. Acha madaktari wetu na manesi wakafanye kazi nchi za nje ambako taaluma zao zinathaminiwa zaidi. Hakuna kitu chetu chochote nchini ambacho kiko katika hali ya kuridhisha, kila kitu ni shaghala baghala. Halafu watu wanasema Kikwete ni kiongozi bora kuliko waliomtangulia!!!! Sijui ni ubora upi wanaouzungumzia, Kazi kweli kweli!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…