Muhimbili campus ya Tanga iko sehemu gani

Muhimbili campus ya Tanga iko sehemu gani

Joined
Feb 26, 2013
Posts
21
Reaction score
6
Habari wakuu naomba kufahamu Muhimbil Campus ya Tanga ipo maeneo gani.. Mimi ni mgeni natoka Mtwara nahitaji kufika huko chuoni.
 
Ukishuka stendi ya mabasi ya Tanga nenda hadi hospitali ya mkoa ya Bombo,utakua umefika
 
Naomba kuuliza..je majina ya selected students kwa diploma..yameshatoka..na kama yametoka ntayapata vipi? Mana dogo langu hajafahamu mpka leo kama kachaguliwa au la..
 
Back
Top Bottom