umeucheki mkono wangu wa kulia ulipo? yaani muheza ni mwish wa ubishiLazima urudi kupakatwa mchezo, chezea wabondei ww
hilo beseni hapo pembeni nguo zake zishalowekwa zote
hivyo hakuna kutoka
hivi siri ya wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa na bado wako romantic na hawachokani ni nini?
umeucheki mkono wangu wa kulia ulipo? yaani muheza ni mwish wa ubishi
@Exellent , siri kubwa ni UVUMILIVU wa KWELI na KUSAMEHEANA NA KUSAHAU KWA UKWELI, Sio kosa kidogo mnaanza ya ya mwaka jana kwanza , hamtafikahivi siri ya wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa na bado wako romantic na hawachokani ni nini?
umeucheki mkono wangu wa kulia ulipo? yaani muheza ni mwish wa ubishi
ndio maana yake ukifika usha fika utoke uwende wapi kila kitu reachable he he heeeeeeekule kuna kibao cha karibu hakuna cha kwaheri atiiii