Muhaya alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100000/=
Na kama akishindwa kukutibu angekurudishia laki yako na kukuongeza laki nyingine.
Basi MCHAGA akaona hii fursa ya kujipatia hela akaenda kutibiwa.
MUHAYA: unaumwa nini?
MCHAGA: Sina taste kabisa..
MUHAYA:Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.
MCHAGA::: Puh puu puu uu si mkojo huu
MUHAYA: Umepona karibu tena.
Kesho yake mchaga akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: Nina tatizo la kumbukumbu nasahau sana....
MUHAYA: nesi naomba kikopo no.27
MCHAGA: ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA ( MKOJO)
MUHAYA: umepona kumbukumbu unayo.