Muhaya attacked by jambazi

Muhaya attacked by jambazi

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Hahahaha...Muhaya is attacked
by a
robber,"Toa pochi " Muganyizi
shouts back "we ---- huwezi
nipigia
kelele nikiwa kwenye Prado na nimevaa rolex na gold kadhaaa
atakama wewe Kichaa....bwana,
ooh
kumbe we lijambazi???(looking
at
the thugs hand ) A PANGA????...aisee unataka
kumuua
meneja na panda??? "Otoina
magezi
iwee" chukua hii million. 20,
kanunue bastola na risasi za gold
nakusubili hapa hapa
ujee,mjinga
sana unategemea headline
ziandikwaje????
Et, senior manager acharangwa mapanga hadi kufa/????iyo ni
aibu
sana,sawa jambazi
 
Jamaa akaamua kumtoa kwenye Prado akamlaza barabari halafu jamaa akapanda yeye, akapiga stata..............
 
hahahaaaaa.... so proud...aaah??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom