Je unahitaji awe na elimu ya uhasibu au awe just graduate tu ?Habari wana jamvi.
Anahitajika Muhasibu aliyetayari kufanyia kazi Bukoba. Fresh graduate itapendeza hasa akiwa wa kike. Kwa maelezo zaidi aje pm
Siyo lazima, ila kipaumbele awe anaishi Bukoba au yuko tayari kwenda Bukoba, ambaye anajua kutumia any Accounting software atapewa kipaumbele zaidiJe unahitaji awe na elimu ya uhasibu au awe just graduate tu ?
Je ni lazima awe na degree au kama ana uzoefu wa hayo mambo unaweza kumpa kipaumbele ?
Nauliza kwa niaba ila vijana wapo wahitaji
Sawa kabisa nimekuelewaSiyo lazima, ila kipaumbele awe anaishi Bukoba au yuko tayari kwenda Bukoba, ambaye anajua kutumia any Accounting software atapewa kipaumbele zaidi
Ameishapatikana?Habari wana jamvi.
Anahitajika Muhasibu aliyetayari kufanyia kazi Bukoba. Fresh graduate itapendeza hasa akiwa wa kike. Kwa maelezo zaidi aje pm
Bado mkuu, ila tayari kuna mchakato unaendeleaAmeishapatikana?
Hahahah acha hizo wewe, si unajuwa jinsi ya kunipata kama uko serious ndugu yanguumesahau kuwa mimi ni mhasibu?
hupatikani skuizi we ungenitafuta bwanaa bukoba ni nyumbani nakaa mda wowote.. unakuaje uku kutafuta kama sipoHahahah acha hizo wewe, si unajuwa jinsi ya kunipata kama uko serious ndugu yangu

Sawa basihupatikani skuizi we ungenitafuta bwanaa bukoba ni nyumbani nakaa mda wowote.. unakuaje uku kutafuta kama sipo![]()
Kwa sisi wa kiume vp kwn nami nahtaj hyo nafasiHabari wana jamvi.
Anahitajika Muhasibu aliyetayari kufanyia kazi Bukoba. Fresh graduate itapendeza hasa akiwa wa kike. Kwa maelezo zaidi aje pm
Mkuu applicants wametoshaKwa sisi wa kiume vp kwn nami nahtaj hyo nafasi