Hawa majamaaa wanatafuta kickkk,,,washatuboa sana ,,,reallKwa watu wote mnaofuatilia selected names kwa undergraduate courses hapo muhimbili tupeane updates. Muda sio rafiki tena.
Kwa ufupi, unafahamu nini kuhusu lini selected list from tcu ya watu wa MUHAS itakuwa released?
may be bado kidogo, itakua kuna programs ambazo hazijaisha kwa mwaka wa masomo 2015/2016,,, I bet for next wk mkuuHawa majamaaa wanatafuta kickkk,,,washatuboa sana ,,,reall
Uchakachuzihawa jamaa wanaboa kweli sijui wanasubiria nini
Inabidi muwe na subira maana mwaka wa masomo 2015/16 ulichelewa kuisha.Kwa watu wote mnaofuatilia selected names kwa undergraduate courses hapo muhimbili tupeane updates. Muda sio rafiki tena.
Kwa ufupi, unafahamu nini kuhusu lini selected list from tcu ya watu wa MUHAS itakuwa released?