muhas{chuo cha muhimbili}

muhas{chuo cha muhimbili}

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
habarin jm nina shida katika account za muhimbili yaan sio moja ni wanafunzi wawili. kila nikijaribu kuingia wanasemma incorect password nmejaribu kureset pia wanasema username is not found na sio A/C moja ni mbili zote nikiwapigia awapokei.....lakini awali nkua naingia vzri issu nilibakiza kureaply now nashindwa je hi shida ni kwangu tu au tafadhali msaada?
 
Muhas hatuna wanafunzi wenye uandishi mbovu kama huo..ndio mana mfumo haukubali unakugomea...nenda kajifunze uandishi mzuri.
 
now imekubali wakuu but sijaona option ya kureaply kwa chuo hiki
 
Screenshot (4)_LI.jpg
 
Umefanikiwa kupata option ya second selection mkuu?
habarin jm nina shida katika account za muhimbili yaan sio moja ni wanafunzi wawili. kila nikijaribu kuingia wanasemma incorect password nmejaribu kureset pia wanasema username is not found na sio A/C moja ni mbili zote nikiwapigia awapokei.....lakini awali nkua naingia vzri issu nilibakiza kureaply now nashindwa je hi shida ni kwangu tu au tafadhali msaada?
 
Mimi nimelipa ili kureply na message za malipo nimeshapata ila kwenye account inaonyesha no payment ili niweze kuendelea....nawapigia hawapokei
Hii inchi kuna baadhi ya watu wanakwamisha mambo sana
 
Andika maumivu
 
Back
Top Bottom