Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu

Kwanza Quran inadanganya mengi sana kuhusu Mfalme Suleiman,kwanza Suleiman hakufuga majini na pili hakuwa na mambo ya kutenda kama mini au uchawi!
Quran inatunga visa kwa kufuata Yorati na Biblia na kuongeza uongo mwingi!

Wakati wewe unasema Mtume amedanganya kuhusu nabii Suleiman na majini yake
Kuna mgalatia mwenzako humu ameweka Uzi kuwa Mtume Muhammad hi habari alikopi katika vitabu vya zamani
Habari nyingi za ndani ya Quran zipo katika vitabu vya APOKRIFA
Vitabu vya APOKRIFA walioanzisha ukristo wamevificha Ili nyinyi mizukule Yao msivione

Ni Uzi wa mgalatia mwenzako upo humu JF unaitwa (Mtume amepoteza wengi) utafute uusome

Mimi nakuwekea hiki kipande kidogo tu Cha huo Uzi

Yani Sasa hivi tunakuacheni wagalatia mfundishane wenyewe

Licha ya kutokubaliwa kama maandiko rasmi ya kiimani, vitabu hivi vina hadithi nyingi zinazofanana na zile zilizomo katika Qur’an, ambayo iliteremshwa karne kadhaa baadaye. Zifuatazo ni hadithi 20 zilizopo katika Qur’an na zinapatikana pia katika vitabu vya Apokrifa, pamoja na mwaka wa kushuka kwa Aya za Qur’an na mwaka wa uandishi wa vitabu vya Apokrifa.

Hadithi ya Mtume Suleiman (Solomon) na majini
Qur’an: Surah An-Naml (27:17-19) – Iliteremka takriban mwaka 616 CE
Apokrifa: Testament of Solomon (karne ya 1-3 CE, takriban mwaka 100-300 CE)
 
Hiyo historia ipo kabla hata ya Uislamu,na baada ya Uislamu,yaani ipo hivo ,kaulize popote,
Wewe, aliyeandika historia ndiye anaamua akuandikie nini? Ukweli au uongo anaamua yeye, ni chombo gani kinathibitisha UKWELI?
 
Quran imejaa uongo mwingi ,ukitaka kufunguka akili iweke kwenye mizania ya nje ya vitabu vingine
aya zishushwe kutoka kwa Mungu mwenyewe kupitia malaika jibril ziende kwa muhammad ziwe za uongo?🤣🤣🤣.yaani weww mtoto wa juzi uje kui kosoa quran?
 
aya zishushwe kutoka kwa Mungu mwenyewe kupitia malaika jibril ziende kwa muhammad ziwe za uongo?🤣🤣🤣.yaani weww mtoto wa juzi uje kui kosoa quran?
Unamaanisha aliyemtokea Muhammad pangoni akampiga makofi na aliporudi wa Bi Hadja akamwambia nahisi nafsi yangu kuchezewa na Mashetani! Bi Hadja akamtabiria!
Muhammad mwenyewe hakumjua alomtokea pangoni ni nani! Leo wewe umeshiba urojo unasema Aya zimetoka kwa Jibril!
Ungetambua ya kuwa alomtokea no Shetanii (Allah) ili kumpa mafundisho ya uongo usingebaki huko kwenye dini yako ya Muhammad na Allah(Shetani)
 
unajua Mungu kwa kiarabu anaitwaje?
ushawahi kuona biblia ya kiarabu?
 
unajua Mungu kwa kiarabu anaitwaje?
ushawahi kuona biblia ya kiarabu?
Mungu ni neno pana sana ndo maana miungu iko mingi!
Ila Mungu muumba na muweza wa yote sio Allah(shetani)
Funguka kwenye Uislam hata Muhammad aliambiwa ushindwa jambo waulize waliopewa kitabu kwa maana wenye Torati na Injili!
Uislam na uongo ni pete na kidole ndo maana ina hadithi za Yesu wa uongo kwa maana ya Issa,Hadithi ya Mfaume Suleiman yenye uongo wa kufuga majini ili kutafuta uhalali wa kujumuisha majini katika dini yenu,Uongo katika hadithi ya Mfaume Daudi nk!
 
nimekuuliza swali dogo maelezo kibao.
mungu kwa kiarabu anaitwaje?
au wakristo wa kiarabu wanamuitaje mungu?
 
Malaika jibril aliendelea kuja Kwa mtume Muhammad Kwa muda wa miaka 23

Sasa sijui Huwa mnadanganyana kuwa alimtokea mara Moja tu pangoni

Muhammad ndio mtume alijiwa na malaika jibril mara nyingi kuliko mitumie yote
 


Alisikia sikia tu habari za kuhusu Yerusalem akadandia
 
Hawa jamaa hata wakithibitisha Mtume kawatapeli Bado wanashikilia kusema alisema kweli:
Sijui wanakula maharagwe ya wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…