MUhammad Ali -

MUhammad Ali -

Ally Kombo

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
11,429
Reaction score
2,654
Muhammed Ali - Madrasa.JPG

Enzi hizo .........Muhammad Ali akiwa Madrassa akisoma baada ya 'kusilimu'

"Na tukamfanya mwana wa Mariamu (Yesu) na mama yake kuwa ni ishara, na tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka, penye utulivu na chem chem za maji.

''Na kwa yakini huu Umma wenu ni Umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi, basi nicheni Mimi.

Qur'an:23: 50-52.
 
Hii picha itakuwa ya kitambo maana kwa sasa ni mzee lakini mswahili huyu alitingisha ulimwengu kwa ngumi na hasa ukisoma historia yake kwenye vitabu na sijui ni bado yupo hai au kishatangulia mbele ya hakki
 
yupo hai ila anasumbuliwa na magonjwa
 
Hii picha itakuwa ya kitambo maana kwa sasa ni mzee lakini mswahili huyu alitingisha ulimwengu kwa ngumi na hasa ukisoma historia yake kwenye vitabu na sijui ni bado yupo hai au kishatangulia mbele ya hakki

Yupo hai
 
Anaumwa Parkinson disease, ugonjwa wa ku-shake due to nerve degeneration . Mara nyingi huwapata cannibalism societies. Last week he also had mild pneumonia.
 
Asante na jazakhalla kwa siku ya leo ya kuzaliwa kwa mungu na maneno ya kuambiwa changanya na ya utosi fi amaan lelaha

Kuzaliwa na kuzaana ni sifa ya viumbe sio sifa ya aliyeumba
 
Hivi huyu jamaa na Tyson nani alikuwa zaidi japo walipigana enzi tofauti?
 
View attachment 212285

Enzi hizo .........Muhammad Ali akiwa Madrassa akisoma baada ya 'kusilimu'

"Na tukamfanya mwana wa Mariamu (Yesu) na mama yake kuwa ni ishara, na tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka, penye utulivu na chem chem za maji.

''Na kwa yakini huu Umma wenu ni Umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi, basi nicheni Mimi.

Qur'an:23: 50-52.

Sting like bee, fly like………
 
....kwamujibu wa imani yangu jamaa kaingia chaka baya sana....
 
Kill Jesus.JPG
....kwamujibu wa imani yangu jamaa kaingia chaka baya sana....

........Siku akija kwa umbo la 'Ng'ombe' jamaa watamchinja Gefu

Yesu akajibu akasema: Sikia eeh Israel, Bwana Mungu wetu ndiye Bwana Mmoja !

Na Yesu akasema: Hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu Mlezi, na Mola wenu Mlezi. Basi Muabuduni Yeye (na Si mimi Yesu). Hii ndiyo njia iliyo nyooka.
Qur'an:19:36
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom