Dube atatufaa Simba.
Kwa sisi tuliowahi kucheza mpira wa ushindani tunajua.
Dube ana miaka 23 kwa sasa yaani ndo kwanza anachipuka.
Dube ana talent zote za mfungaji mahili.
Kwenye timu yake ya awali huko Zimbabwe Dube alifunga sana ktk mechi za Kimataifa hata Azam alifunga ndo maana wakamchukua ktk tim yao.
Dube ana
Kasi
Tageti
Shuti kali
Hadaa
Position vizuri
Stamina (msuli mkubwa)
Piga chenga mabeki.
NK
Dube anakilakitu kinachohitajika ktk mshambuliaji.
Humu nilisha mkosoa Mugalu siku nyingi nikashutumiwa sana kusema namchukia.
Wakamtetea kwamba ni Mkabaji mzuri.
Dube akija Simba ataendelea kukua kichezo na ki umri atakuja Kutisha baadae kidogo tu.
Mi nazungumza kama Mchezaji Mpira niliyecheza Beki na Winga kwamba Dube atatufaa Simba.
Pale Simba kwa sasa kama wanataka kusonga mbele wawaondoe.
Chikwende
Mugallu
Kagere na
Morrison ( ni mzuri ila ana mizaha sana, hayuko Siriaz ktk mechi muhimu
Wasajiri straiker wawili wanaweza kumchukua Dube na yule Beki wa AS Vita

Djuma Shaabani ni mshambuliaji mzuri sana kuliko akikaa Beki.
Na wengine wawili.
Manara akizungumza na Rafiki yake Saidi Bakhresa atupe Dube, atatupa.
Nasema ni Manara pekee anayeweza kumshawishi Bahresa atupe Dube, wengine hawataweza.
Nazungumza kama mchezaji mpira wa zamani.
NB
Tungekuwa na Dube Kaizer Cheif tungewatoa kiulaini tu.