Mugabe wins Zimbabwe election

Mugabe wins Zimbabwe election

Status
Not open for further replies.
Shouldn't we take time to wait for valid results? I wonder if they are not trying to measure the reaction of the people as the source is anonymity.
 
Hahahahaa...what a joke!

Is there anyone who really expected him to lose?

Come on folks, let's get real for once. Tsvangirai had no snowball's chance in hell of winning that sham election.
 
Kama kweli Robert Gabriel Mugabe ameibuka mshindi wa katika uchaguzi uliofanyika jana basi wazimbabwe hawana tofauti na watanzania. Wazimbabwe ambao wamekuwa katika hali ngumu ya kimaisha na kiuchumi kufuatia sera mbovu za Mugabe halafu wanapata nafasi ya kufanya mabadiliko yenye tija kwa maisha yao lakini wanashindwa kutumia fursa hiyo?

Ni sawa na watanzania wanaolalamika kila siku kwamba ccm imewaletea umasikini na inazidi kuwaongezea umasikini lakini utashangaa watu hao hao ukifika uchaguzi wanapewa khanga, kofia, tshirt, chumvi, sukari na ubwabwa wanaipigia kura tena ccm.
ila kuna mengi yanasemwa kuwa CCM imekuwa kishinda kwa fitna, sio kura!
 
Hongera Mugabe, Zimbabwe hakuna kiongozi wa upinzani ni kama Uganda tu. Hata wa bongo wako juu!
 
Mixed feelings.... Wazim wengi walio nje hawajafurahi, ila nimependa Wazungu kuumia

But nimeaikitika zaidi Ben kushangilia, maana hatujui kama ameiba kura au la
 
Hahahahaa...what a joke!

Is there anyone who really expected him to lose?

Come on folks, let's get real for once. Tsvangirai had no snowball's chance in hell of winning that sham election.
Hujui chochote kuhusu kuhusu Zimbabwe na acha kujifanya political analyst.
 
Mdogo wangu Ben ulitakiwa uahangilie uchaguI ulio huru na wa haki na si ushindi wa Mugabe.... Democracy ina maana yake
 
Shouldn't we take time to wait for valid results? I wonder if they are not trying to measure the reaction of the people as the source is anonymity.
And that was my point too

Inashangaza sana kuona walewale wanaopigia chapuo democracy, wanajiaahau na kuanza kupiga DOMOcracy
 
Viva Mugabe,

Kilio changu kimesikika, mabeberu tumewaangusha!

Zimbabwe ni ya Wazimbabwe na sio ya Wazungu!

Nilishasema Mugabe ndie kiongozi bora mwana wamapinduzi aliyesalia!

Nakuunga mkono mkuu yericko,
waliberali wana kibarua kigumu kumthibitishia BOB kama "WATAZAA" ili waruhusiwe kujivinjari zimbabwe.
 
Simba wa Afrika
kama umeingia Ikulu tena ndio furaha yetu bado Tz na sisiem
 
hata mimi nampongeza mugabe na zaidi sauti huru ya wazimbabwe.

Believe me you huyu jamaa kawafanyia wazim kitu cha maana sana. Nayo ni ardhi. Kiukweli ishu ya ardhi ilikuwa ni tete saaaana wapendwa na mabeberu walikuwa wananufaika ipasavyo.

Huyu jamaa pamoja na yote aliyofanyiwa ila ni mwanamapinduzi.

Wazim wameamua kumshukuri kwa hilo. After all he's much to the exit line by all measures which sanely itaitwa 'natural cause'.

Asante wazimbabwe na hongera mugabe na zanu-pf
 
Kama kweli Robert Gabriel Mugabe ameibuka mshindi wa katika uchaguzi uliofanyika jana basi wazimbabwe hawana tofauti na watanzania. Wazimbabwe ambao wamekuwa katika hali ngumu ya kimaisha na kiuchumi kufuatia sera mbovu za Mugabe halafu wanapata nafasi ya kufanya mabadiliko yenye tija kwa maisha yao lakini wanashindwa kutumia fursa hiyo?

Ni sawa na watanzania wanaolalamika kila siku kwamba ccm imewaletea umasikini na inazidi kuwaongezea umasikini lakini utashangaa watu hao hao ukifika uchaguzi wanapewa khanga, kofia, tshirt, chumvi, sukari na ubwabwa wanaipigia kura tena ccm.

Wazimbabwe wanajitambua wewe, huyu waziri mkuu kilaza sana hana upinzani wowote kazi kupiga kelele na wazungu. Angekuwa na ushawishi alipewa green light lakini hayuko smart yule. Pole kwa kupoteza mkewe kwenye ajari ya mwaka juzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom