Mugabe na maneno yake

Asee mugabe kiboko
Namkubali sana na yule wa S.A Jackob Zuma aliyesemaga hakuna Ukimwi watu wapige kavu(mnofu mnofu)
Ukimaliza kimbia bafuni osha "mtalimbo" kwa maji mengi ngoma hakuna tena.![emoji121] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi huyu Mzee huwa na nacheka mpaka nakosa stamina
 
Hebu tujiulize kidogo, hizi ni quotes halisia toka kwa Mugabe maana nyingi zipo kikuda sana. Hapa nahisi zimetengenezwa na wabongo kwa ajili ya kufurahisha tu.
Mkuu mm huwa naona ni mwenyewe maana huyu Mzee anaonekana anakilli sana!
Sio mchache kabsa, kajaa full
 
Hua namkubali sn Mugabe kwa misemo hii ninayo lukuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…