Mugabe na maneno yake

A master of jokes and puns.I wish lives till the sun changes its direction!
 
Hivi hii misemo ni kweli Mugabe anaitoa? au watu wametunga za kwao maana wanajua Mugabe huwa anatoa madongo.
 
Mzee nchi imemshinda amegeuka mhenga mchekeshaji.View attachment 487397

Halafu sijawahi kuona hata clip moja akitamka hizi nukuu zilizojaa mitandaoni.
Hivi hii misemo ni kweli Mugabe anaitoa? au watu wametunga za kwao maana wanajua Mugabe huwa anatoa madongo.
hizo page za Mugabe quotes kwenye insta,fb,twitter n.k ni za jamaa Fulani wa south Africa nimewasahau jina lao.
wanajitungia tu kama comedy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…