Mugabe karibu Tanzania utufundishie rais wetu kung'ang'ania madaraka.

Panga Makalikuwili

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
291
432
Kwa kweli kitendo kilichotokea Zimbabwe wala hakijatufurahisha sisi "waafrika kabisa''.Kwa nini wameiondoa nembo ya Afrika madarakani kwa hila.Tendo lile limesababisha Afrika kupungukiwa na misimamo ya kizalendo na ni hatua kubwa kwa mabeberu kuja kuinyonya Zimbabwe na Afrika kwa ujumla."Enewei''kufa kufaana,ukisema chanini mwenzio anasema atakipata lini. MUGABE aje kuishi Tanzania awe mshauli wa rais wetu ,Amfundishe mbinu za kung'ang'ania madaraka sababu Tanzania inamuhitaji kwa muda mrefu sana JOHN POMBE .
 
Akili ya mleta post ina uvimbe wa kichadema.
 
Back
Top Bottom