Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Is beatification a Biblical teaching or a Roman Catholic tradition? Otherwise, if its a tradition, then am 'wasting' my time believing in Jesus Christ. I cant imagine in such a generation where knowledge in every aspect is diverse people are still fooled. eti mtu kaafa, watu fulani wanaka, na kuchunguza maisha yake alafu, wanasema ni 'mtakatifu', sasa Mungu kazi yake ni nini?. Ok thats fine. Kwanini wakati wa uhai wake, tulikua tunamuita baba mtakatifu
Ignorance is really our greatest enemy. Do you know what 'sainthood' means? Hata kwenye mataifa yetu kuna watu tunaowakumbuka kwa yale waliyoyafanya kwa ajili yetu na tuvirithishe vizazi vy sasa na vijavyo matendo yao ya fadhila ili uwe mfano kwa wengine. Sasa Kanisa katoliki nalo lina utaratibu wa kuwakumbuka waliojitahidi kuishi maisha yao ya imani vizuri ili wawe mfano wa kuigwa kiimani tangu lilipoanza. Kama utaacha kuamini katika Yesu shauri yako lakini utamaduni wa kuwakumbuka watu kwa matendo yao mema ni utamaduni mtakatifu - unatoka kwa Mungu.
You dont know what you are talking about! tafadhali chugunza what it means by beatification and then sainthood according to the Roman Catholic theology, From today John Paul 2 kwamjibu wa Kanisa Katolic wanesa ni 'Blessed', yaani na yeye ni kama Mama Maria. Which means baada ya kupitisha maombi kwa Yesu, unaweza kupitisha kwake kama ilivyo kwa Mariamu. And according catholic theology, he is now in 'Heaven' like Jesus. Ask an church priest, he will tell you this, or follow up what happened today in Vatican. Is this a biblical doctrine? If u tell me that u follow tradition, thats fine. But if u follow the Bible, its a big lie. Tafadhali soma Biblia, achana na utamaduni wa wazungu. Otherwise use the Bible to Prove your facts!
Ignorance is really our greatest enemy. Do you know what 'sainthood' means? Hata kwenye mataifa yetu kuna watu tunaowakumbuka kwa yale waliyoyafanya kwa ajili yetu na tuvirithishe vizazi vy sasa na vijavyo matendo yao ya fadhila ili uwe mfano kwa wengine. Sasa Kanisa katoliki nalo lina utaratibu wa kuwakumbuka waliojitahidi kuishi maisha yao ya imani vizuri ili wawe mfano wa kuigwa kiimani tangu lilipoanza. Kama utaacha kuamini katika Yesu shauri yako lakini utamaduni wa kuwakumbuka watu kwa matendo yao mema ni utamaduni mtakatifu - unatoka kwa Mungu.
you dont know what you are talking about! Tafadhali chugunza what it means by beatification and then sainthood according to the roman catholic theology, from today john paul 2 kwamjibu wa kanisa katolic wanesa ni 'blessed', yaani na yeye ni kama mama maria. Which means baada ya kupitisha maombi kwa yesu, unaweza kupitisha kwake kama ilivyo kwa mariamu. And according catholic theology, he is now in 'heaven' like jesus. Ask an church priest, he will tell you this, or follow up what happened today in vatican. Is this a biblical doctrine? If u tell me that u follow tradition, thats fine. But if u follow the bible, its a big lie. Tafadhali soma biblia, achana na utamaduni wa wazungu. Otherwise use the bible to prove your facts!
sasa hapa ndugu ellet ndio umelikoroga kabisaaaa! Kuwa mwenye heri na kuwa mbalikiwa ni vitu viwili tofauti, pia wakatoliki wanamuita maria muombezi na si mpishiwa maombi na yesu ndio mwanzo na mwisho alfa na omega hivyo hawapitishi maombi balli yeye ni njia na uzima mtu haendi kwa baba ila kwa njia yake yeye.
Unaswali au unasali wapi ndugu ellet?
Wanampiga madongo saana lakini Mugabe bado yupo yupo!
Robert Mugabe invited to beatification ceremony for Pope John Paul II
By Nick Pisa
Last updated at 1:51 AM on 29th April 2011
Rome Tyrant Robert Mugabe is among VIPs who will attend the beatification ceremony of Pope John Paul II this weekend, it emerged today. The Zimbabwean dictator has been slammed by the international community for driving his country to poverty and is one of Libyan leader Colonel Gaddafi's only allies.
His surprise inclusion on the list has raised eyebrows but it is not the first time that Catholic Mugabe's presence at Vatican ceremony has provoked controversy.
Sinner and saint: Zimbabwean dictator Robert Mugabe is due to be at the beatification of Pope John Paul II
Prince Charles was caught out at Pope John Paul II's funeral when he shook hands with Mugabe. The prince later said he had been caught by surprise
In 2005 during the funeral mass for the late Pope John Paul II, Mugabe sat next to Prince Charles, who was left flustered as Mugabe turned to him and shook hands with him - leaving him to say: 'He caught me by surprise.'
Mugabe is actually the subject of a travel ban but is able to visit Rome as the event on Sunday is being held at the Vatican and he is an invited head of state. The invitation is in contrast to that of the Royal Wedding between Prince William and Kate Middleton but Zimbabwe's ambassador in London has been invited to that.
Security will be particularly tight in Rome when Mugabe, 87, arrives on an official flight at Rome's Fiumicino airport on Saturday and a no fly zone has been imposed over St Peter's for the ceremony.
Other VIPs include the president of Pope John Paul's native Poland, Bronislaw Komrowski, who will be accompanied by Senate Speaker, Grzegorz Schetyna, and House Speaker, Bogdan Borusewicz.
Vatican City: Despite a travel ban Mugabe is allowed to visit Rome as it is being held at the Vatican - a separate state - and he is invited as a head of state