Mzee Mugabe anasema kweli, lakini mleta mada toa jina la Kikwete hapo. Kakukosa nini? hakuna sehemu Mugabe kamtaja mtu kwa jina, kama una chuki binafsi na Kikwete usituletee hapa. Huyo ni Rais wako inapaswa umuheshimu hata ma boss zako wa chadema wanamheshim.