Kama ni ivo,atangaze zmbbwe iingie kwny utawala wa kifalme kama kwa malkia elizabeth,kwnn asijilinganishe na kina nyerere,na akina kaunda...umri ukienda sana na akili nazo zinachoka,unachotaka ni kupumzika na kulala tu...swali la mwandishi wa habr zuli yy amejibu kibabe.