Ngoja tuweke kumbukumbu vizuri, ni kutokana na Grace Mugabe kumfanyia fujo na kumjeruhi mwanamitindo wa south africa wakati mme wake akiwa bado madarakaniWaendesha mashitaka nchini Afrika ya kusini wametoa kibali rasmi cha kumkamata na kumshitaki Grace Mugabe mke wa rais aliyetimuliwa madarakani Robert Mugabe kufuatia matendo aliyo kuwa anayafanya dhidi ya raia.Huu ni mwanzo tu na tunaweza kusikia na Mugabe naye anatiwa korokoroniView attachment 972476
Haya mambo ya unabii umeyaanza lini? Mugabe ni baba wa Taifa. Usicheze na Nyara za serikali.Waendesha mashitaka nchini Afrika ya kusini wametoa kibali rasmi cha kumkamata na kumshitaki Grace Mugabe mke wa rais aliyetimuliwa madarakani Robert Mugabe kufuatia matendo aliyo kuwa anayafanya dhidi ya raia.Huu ni mwanzo tu na tunaweza kusikia na Mugabe naye anatiwa korokoroniView attachment 972476
Grace alikuwa kipenzi #1 cha mzee Bob.Waendesha mashitaka nchini Afrika ya kusini wametoa kibali rasmi cha kumkamata na kumshitaki Grace Mugabe mke wa rais aliyetimuliwa madarakani Robert Mugabe kufuatia matendo aliyo kuwa anayafanya dhidi ya raia.Huu ni mwanzo tu na tunaweza kusikia na Mugabe naye anatiwa korokoroniView attachment 972476