Mufindi chukueni hiyo

Mtwango, kibao, nyanguguru, kwamkonge, sawala, mtili panda juu twende, aisee lakini mbona mufindi maeneo mengi hayana lami zaidi ya mafinga mjini
 
Uko hakuna bump nini..!? Maana uyo maza aliekalia ndoo apo nyuma ngoma ikiingia kwa bump anaeza kurushwa na kutoshkilia ilo bomba vizuri mziki wake unakua pale mlango unaporudi.. woouuuuwi
Mkuu haya ni maisha ya kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
 
Hapo lazima ni Kenya, maana wale manyangau chapaa mbele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…