S Sley Shabani Rashid Member Joined Dec 25, 2022 Posts 84 Reaction score 109 Saturday at 6:24 PM #1 Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,461 Reaction score 5,360 Saturday at 6:25 PM #2 Sley Shabani Rashid said: Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute Click to expand... UNATAKA EKA NGAPI MKUU??
Sley Shabani Rashid said: Kampuni inahitaji mashamba ukanda wa pwani kama unafahama mmiliki mashamba ukanda huo nitafute Click to expand... UNATAKA EKA NGAPI MKUU??
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,735 Reaction score 57,906 Saturday at 6:27 PM #3 Unatafuta mashamba kama unatafuta ndugu zako wa kijijini kweli🤔🤔🤔
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,556 Reaction score 7,061 Saturday at 8:53 PM #4 Mbona maelezo ni mafupi sana? Utapata kweli wewe shamba?
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,258 Reaction score 12,709 Yesterday at 10:59 AM #5 Inatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara
Inatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,791 Reaction score 5,892 Yesterday at 11:08 AM #6 Norshad said: Inatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara Click to expand... Nakazia
Norshad said: Inatafuta mashamba ama washamba? Una hakika ni kampuni mkuu? Na wewe ndio unawataftia kwa stail hii? Kama ni kweli basi utaiingizia kampuni hasara Click to expand... Nakazia