Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,174
- 45,894
Nilichokisema ni Majority ya Land imechukuliwa na Mugabe family,rafiki zake,wanajeshi na watu wa kabila la washona.,hakukua na usawa ktk kugawa ardhi hio na wala zoezi halikufanyika kwa maslahi ya Taifa.
Sasa je unadhani kwny hilo kabila la Washona wote waliopewa hio ardhi walikua ni matajiri?
Mbona Wandebele mgao haukuwahusu wao kama raia wa Zimbabwe.?
mkuu,zoezi lilifanyika kwa maslahi ya taifa kwa sababu wananchi ndio walimuomba mugabe awarudishie ardhi yao na yeye akawahaidi akiingia madarakani atafanya hivo.
ila kwenye usawa hapo upo sahihi kulikuwa na kasoro hiyo,nadhani shida ilikuwa kwenye utekelezaji