Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,565
Sijasoma original post nimeanzia kwenye comments.mkuu,ulikuwa unamfuatilia Mugabe katika Historia au vyombo vya habari vya mabeberu ? .ngoja nikupe mfano,aliwapokonya ardhi wazungu ambao walijimilikisha ardhi yote ya Zimbabwe huku masikini wakiachwa bila kitu,lakini leo rais wa sasa anataka kuirudisha kwa mzungu tena na kuwalipa wazungu fidia
Naomba kuuliza huyo Raisi wa sasa alichaguliwa? Nikimaanisha alipigiwa kura?