Muendelezo wa Kesi ya ubunge Arusha

Muendelezo wa Kesi ya ubunge Arusha

agwedegwede

Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
42
Reaction score
24
Kesi inayomuhusu Mbunge wa Arusha mjini Mh. Lema imehairishwa kwa mara nyingeine kutokana na kutokuwa na spika za kutangazia ili watu walio nje wasikie na ukumbI kuwa mdogo kutokana na wingi wa watu.

Hakimu amehairisha kesi mpaka kesho na ameagiza utafutwe ukumbi mkubwa. Watu wamejitokeza kwa wingi sana na kuzua taharuki.

Nawasilisha.
 
Wafanyie Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid au NMC
 
Watabana lakini mwishowake wataachia tu, hata Gaddafi alibana lakini mwishowe aliachia.
 
Wakafanyie NMC kwa kutumia spika za matangazo!
 
uwacha wa taifa kesho hakuna mechi i suggest kesi ifanyikie pale tunajivunia nguvu ya umma na sio mafisadi kama hawawezi taifa fn viwanja vya NMC vitatutosha tukutane pale
 
Kesi inayomuhusu Mbunge wa Arusha mjini Mh. Lema imehairishwa kwa mara nyingeine kutokana na kutokuwa na spika za kutangazia ili watu walio nje wasikie na ukumbI kuwa mdogo kutokana na wingi wa watu.

Hakimu amehairisha kesi mpaka kesho na ameagiza utafutwe ukumbi mkubwa. Watu wamejitokeza kwa wingi sana na kuzua taharuki.

Nawasilisha.

Ahsante mkuu kwa taarifa, ila next time kuwa muangalifu kuhusu usahihi wa maneno yenye kutiwa rangi nyekundu. Ili wanaotaka kujifunza kiswahili nao wapate mafunzo sahihi kupitia JF. Neno sahihi ni ahirisha.
 
Back
Top Bottom