nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
Hbr ya mapumziko ndugu zangu
Naomba kushare na nyie kile kinachonitokea kuhusu mahusiano yangu.
Ikumbukwe nilileta uzi hapa juu ya wazazi wa binti kuniomba mahari kubwa ili nimuoe binti yao.
Sasa baada ya kuamua kukaa kimya kuachana na hayo mambo, binti haelewi kabisa , anashinda analia , hali , yaani kwa ujumla anawasumbua
Na hii ni kwa sababu wazazi wanataka kuchukua mahari ya ng'ombe walio hai 20 ambao ametoa tajiri mmoja.
Sasa jana wakamwomba awape namba yangu, ili waongee na mimi.
Baba ake Mdogo alinipigia kujua nina ng'ombe wangapi? Nami nikamwambia mweny jibu ni mzee Wang ambaye yupo tyr kwenda kujadiliana nao suala la Mali.
Akanionya kwamba wenzangu wamekuja na ng'ombe ishirini hivyo bila hivo mwanamke atoki,
Kwa kuthamanisha mwanamke, ni mzuri sana, form four ya div.28, pia kwao maskini na ntaishi huku mazingira ya kwao,hivyo itabidi nimsaidie kusoma kidogo, kuwasaidia kwao n.k nikamwambia huyo mzee nyie ozesheni tu mimi siwezi chukua uamuzi huo.
Binti kanipigia leo asubuhi akanambia aongee na baba yake kama aelewi basi anawaza kutoroka.
Njia ya kutoroka siikubali maana mi nataka kuanzia procedures kanisani baadaye harusi hivyo akitoroka hivyo havitafanyika.
Sasa nipo tu hapa sielewi nimshauri nini! Nampenda kweli lkn complications za kwao za kutaka kuoza kama unauza binti ndo na kushindanisha zinaleta shida.
Ebu nishaurini nimshauri nini binti .
Kumbuka nilitaka kuoa mwaka huu, na huyu ikishindikana ni Mdada wa Pili inashindikana ndoa only this year.
Nawaza kwa nini hali hii inanitokea? Au sijapata ubavu wangu, niendelee kutafuta tu.
Ingawa ningelikamilisha hili , ingekuwa vema na mwaka ujao naenda Shule.
Nishaurini wadau, nimsaidiaje huyu binti.