Hayati Henry limihagati alikuwa mbunge wa jimbo la solwa na anaaminika kuwa mbunge bora wa muda wote katika jimbo hilo!!kama una lolote juu yake hebu tushirikishe wanaJF...
Ndie aliruhusu daladala kuanza rasmi jukumu la kusafirisha abiria jijini Dar.kutokana na msukumo wa hayati E.Sokoine baada ya usafiri jijini Dar kuwa wa adha kubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.