Habazi za kuaminika nilizo zipata nikwamba Musalia mudavad amekula mahela mengi ili awachanganye wakenya huyo jamaa anatumia na KIBAKI,UHURU,RUTO,lengo haswa nikuhakikisha kwamba Raila haingii ikulu.
Habazi za kuaminika nilizo zipata nikwamba Musalia mudavad amekula mahela mengi ili awachanganye wakenya huyo jamaa anatumia na KIBAKI,UHURU,RUTO,lengo haswa nikuhakikisha kwamba Raila haingii ikulu.
Hoja hii yako ina maana Amolo tinga yuko kwenye njia panda wakati huu. Chama chake kimeopoteza magwiji ambao wangemsaidia RAILA kunyanyua kura kuingia ikulu. Hapo bonde la ufa, Ruto ndio msema yote. Mudavadi yuko mbioni sehemu za magharibi. ODM imebaki na kosgey ambaye alipewa afueni na ICC na asipochunga atabaki kukosa ushawishi na kushuka kiwango kama cha mwanachama tu.
Huyu miguna kama waswahili wanasema, mgalla muue lakini haki mpe. Bado miguna analilia marupurupu yake kutoka kwa pm. Ndio kusema hata akaingia uongozini, watu watalazimishwa kulala njaa.
Huyu miguna kama waswahili wanasema, mgalla muue lakini haki mpe. Bado miguna analilia marupurupu yake kutoka kwa pm. Ndio kusema hata akaingia uongozini, watu watalazimishwa kulala njaa.
Ndio hata najiulia mimi ikizingatiwa ni serikali ya mseto na mamlaka yake PM inavyoidhinisha katiba mpya ni kubwa. Kwa sasa niseme sioni lolote amefanya isipokuwa kulilia haki za binadamu.
Ndio hata najiulia mimi ikizingatiwi ni serikali ya mseto na mamlaka yake PM inavyoidhinisha katiba mpya ni kubwa. Kwa sasa niseme sioni lolote amefanya isipokuwa kulilia haki za binadamu.