Baada ya kurejeshwa kwa chenji ya Rada nchini ambayo imepangwa 'kununulia' madawati,muda umefika kwa mapacha watatu-EL,AC na RA kushughulikiwa.Taarifa zilizonifikia zinabainisha kuwa wakuu wa nchi walikuwa wakisubiri kurejeshwa kwa chenji ili kila pacha awe na jambo lake linaloonekana wazi mbele ya wananchi.
Wakati EL akihusishwa na Richmond-Dowans,RA hatoki kwenye Dowans na KAGODA;AC anakabwa koo na Rada.Kwa mpangilio huo,taarifa zinadai,hakuna atakayesalimika.Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Eliezer Feleshi tayari alishakabidhiwa mafaili ya mapacha watatu.Ni muda wake muafaka sasa kuchukua hatua.Rais wetu Kikwete na asimwingilie.
Picha inaanza..
Nguvu ya Umma.Mkuu hebu tuambie atatumia mbinu gani iliyokufanya uamini kuwa Lowassa kuingia ikulu 2015?
2015 utabaki mdomo wazi wakati Lowassa atakapokuwa His Excellency, The President Of United Republic Of Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa. Ukweli mchungu ila itabidi uumeze hivyo hivyo.Mkuu naona leo unaota mchana mchana siyo. Usiku ulikuwa lindo, ebo!
Atakuwa Rais wa kwanza wa Tanzania kupinduliwa kijeshi au kwa nguvu ya umma...2015 utabaki mdomo wazi wakati Lowassa atakapokuwa His Excellency, The President Of United Republic Of Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa. Ukweli mchungu ila itabidi uumeze hivyo hivyo.
Umevimbiwa daku wewe! Nenda chooniAtakuwa Rais wa kwanza wa Tanzania kupinduliwa kijeshi au kwa nguvu ya umma...