ANTHONY MPILUKA
New Member
- Nov 29, 2014
- 4
- 6
Nimekuwa nikinunua salio na vifutushi toka mitandao mbalimbali. Kila nikiona bei zao swali la nani anamiliki muda na vifurushi hivi napata shida. Mfano momi nanununu kutoka kwa mtoa huduma, je yeye anavipata wapi hadi anipangie bei?
Je, nani mmiliki halisi anayewauzia wanaoniuzia mimi? Who is a real owner and creator of bundle and airtime?
Je, nani mmiliki halisi anayewauzia wanaoniuzia mimi? Who is a real owner and creator of bundle and airtime?