Usigofu sitamwambia kwanza saa hii amelala fofofo na haa akija kuona hawezi sema kitu wala andika kitu atapita kama hajaiona vile, atajikausha tuu ndo kaiwada yake mradi tuu usimchokoze tena kwa kurusha picha yake ingine humu.
La ugomvi utakaouanisha nisipo uamulia mimi basi pona yako ni asilimia 0.0001............. muulize Babu
Asprin hadi leo kimyaaaaaa
πππ
Babu nakusalimu nimekumiss siku mingi hatujatiana machoni
πππ