#kwenye kozi za afya ni mimi binafsi, Ila kuna jamaa yangu yeye ndo anataka kwenda technical college sa alichaguliwa kozi ya geology and gemstones ngazi ya certificate ndo alikuwa anauliza [emoji3516][emoji3516] hilo swali.
Ye anataka kusoma civil engineering.
Ndo swali hilo nimelileta kwenu wadau.