brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 248 Reaction score 143 Oct 8, 2023 #1 Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..? Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi nyingine level ya diploma??
Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..? Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi nyingine level ya diploma??