Muda Umekwisha, Thibitisha IMEI yako hapa

Wale Vijakazi wa lumumba waanze kuaga JF , maana Vimeo vyao ndo vimefika tamati, kuisoma namba ni wajibu
Na lumumba waliwanunulia makusudi maana huu mpango walikuwa wanaujua, wamewatumia kwenye uchaguzi sasa wamewatosa
 
Hivi huu mtambo(system) wa kubaini simu kama ni fake au origino na wenyewe umetengenezwa nchi gani?Nauliza tu wajameni.
 
Kesho hiyoo
Mara network searching

Hauja kaa sawa mara
No network

Kucheki vizuri
No Sim card

Bado una toa macho

Mara network searching failed

Ile unajiuliza ufanye nn
Mara shutdown hiyoo



 
Kura yako ulivyoipeleka lumumba tu ukasababisha haya
Last time kupiga kura nilipokuwa Kwenu Mwaka 1995 Enzi za Ukimpa Lipumba utakuwa Mpumbav Ukimpa Mkapa Mtatoka Kapa na Mkimpa Cheyo Mtajazwa Mapesa.... vipi ulikuwa Ushazaliwa Mkuu?
 
Last time kupiga kura nilipokuwa Kwenu Mwaka 1995 Enzi za Ukimpa Lipumba utakuwa Mpumbav Ukimpa Mkapa Mtatoka Kapa na Mkimpa Cheyo Mtajazwa Mapesa.... vipi ulikuwa Ushazaliwa Mkuu?
Naona enzi hizo ndo ulikuwa unatimiza umri wa kupiga kura safi sana
 
Simu zenye majina mawili ndiyo feki zaidi, ukiwasha au kuzima linatokea jina tofauti pia uwezo wa kukaa na chaji,ubora wa picha.Halafu bei zake tu utajua hii feki.
 
Kesho hiyoo
Mara network searching

Hauja kaa sawa mara
No network

Kucheki vizuri
No Sim card

Bado una toa macho

Mara network searching failed

Ile unajiuliza ufanye nn
Mara shutdown hiyoo



Balaa hili lote litawakuta wale walionunuliwa visimu wakati wa kampeini na lumumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom