MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Unavyoongea kana kwamba wale washenzi walionewa..hivi unajua kwa nini rufaa zote zilibuma? Kwa taarifa yako waliwaambukiza UKIMWI watoto 17..Je huyo Mungu wa Ibrahimu aliwaagiza kufanya hivyo?
kuna ushahidi wa wazi kabisa wa watu kula lfe ban humu
Walimteka , wanajuaana. ? Leo hii kawa mtu mzma hebu muulize ilkuwaje. Unaikumbuka nyimbo ya babu seya inaitwa SALMA?.
mods wamelala nahisi
Where we dare talk free
Where we dare talk free
mods mpo au mmelala? tendeni haki ya kimsingi kwa watu wote tafadhali kwani jukwaa hili halijafikiwa watu kutukana matusi makubwa ya namna hii halafu bado tu wanaendelea ku log in. nasisitiza kwenu tendeni haki kwa wote na siyo wote humu ni wahuni kama wengine kwa hizi lugha chafu na zisizovumilika haswa haswa za huyu member.
Adhabu walioipata ni haki yao wala hawajaonewa. Hawa walikuwa wahalifu na wakatili wasiositahili msamaha. Mbona hawasemi kuwa ni waathirika wa HIV na baadhi ya watoto waliofanyiwa hivyo ni victim kwa sasa? Hadi watoto wenu wa kuwazaa wafanyiwe hivyo ndio muone unyama wa hawa washenzi
Inafaa wauliwe huko huko jela na sindano ya sumu nimesoma hii mada imenikumbusha machungu makubwa hawa watu ni mbwa, mimi nashangaa watu wanaowatetea.
uuongo wa wazi kabisa.mwanasheria aliyemtoa mtoto wa nguza gerezani aliweka wazi .tunamjua aliyemweka ndaniKwani aliyeshtaki ni Raisi, hiyo kesi ni sisi wazazi ndiyo tumefungua na mpaka leo tunauchungu na wtt wetu walivyofanyiwa, kwa kweli ni wauwaji kabisa wengine wtt wetu wamewachukia hata baba zao kwa ajili ya jinsia tu.
Peleka ushahidi mahakamani, hatoki ng'o mpaka afie jela mshenzi mkubwa yule.
Wanamuziki Nguza Viking na Papii Kocha wanaotumikia kifungo cha maisha jela, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasamehe kwa makosa waliyofanya.
Nguza na mwanaye Papii walitoa ombi hilo kupitia wimbo wakati wakitumbuiza katika maadhimisho ya Siku ya Magereza yaliyofanyika Chuo cha Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam.
Ombi hilo waliliwasilisha kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe aliyekuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hizo ambapo Nguza maarufu Babu Seya na mwanawe, Johnson Nguza (Papii Kocha), walitumbuiza wakiwa na Bendi ya Wafungwa. Walimwomba Waziri Chikawe kufikisha ombi lao kwa Rais Kikwete.
TAARIFA HII NI YA TEREHE 21/JUNI/2014. Mhe. Rais anamaliza muda na juzi alikuwa kule magereza akitunuku nishani. Alisema akisamehe baada ya muda wanaorudi kifungoni ni zaidi ya aliowasamehe.
Kumbe unakaa nje ya dar, ndio maana hujui dunia inaendaje utakaa kila kitu kusimuliwa, mimi aliyefanyiw ni mmoja wa familia yangu, ni mtt wangu sasa niache niongee ukweli tunauchungu kama wazazi na kitendo alichofanyiwa mtt wetu na hujui nina uchungu kiasi gani, naomba kwa Mungu na wewe siku moja yakupate usijie uchungu wake.
Kwetu ni undumilakuwili sasa kwenu ni nini mkuu :A S wink::A S wink:Kwetu upop ni -----