Muda umefika na sisi TZ tuanzeni Revolution

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Muda wa kuanza Revolution Tanzania uanze sasa huo Mchakato wa kuwafukuza Mafisadi. Tuacheni ujinga Watanzania wenzangu kwanini wenzetu waweze sisi Tushindwe. Mikakati ianze ili Mwanzoni mwa March Tuanze njia ya Kujikomboa, Tayari nasikia kuna baadhi ya Watu wameshaanza kuchapisha Makaratasi ya kuhamasisha mchako na page ya facebook na Twiter zinaandaliwa kuhamashisha Watanzania kuelekea kwenye njia ya UHURU. More to come, Fisadi Kikwete na wenzake wakae mkao kunyolewa
 
Back
Top Bottom