Niko na mchepuko na rafiki zake wa wili yan wako kama komba wanagida mvinyo kama wametukania leo
Mpaka saa hizi saa23:00 pm
Wameshatafuna laki unusu yani 150,000/ , na bado wanaonesha wako hai na mimi nimebakiwa na 8300/ sa sijui nile kudadadeki
Yan 80% ya mshahara ushapotea na leo ndo tarehe 30, ishakula kwangu yan hata pombe haishuki *****.
Alaf naona kama wamenishtukia kua salio limekata maana wanatumiana sms tu, nawaona.
Yan kaka mi mpaka nashindwa kuelewa hawa viumbe yani