Muda na silaha

angekua mtz panga au shoka lazima vingekuwepo pahala
 
Nikifikiria haya nasogeza mbele tarehe yakutaja ndoa
 
Hivi hilo Lungu la kusukumia chapati na kikaango chenyewe kipi kinaumiza zaidi .. ??
 
HAYA KWA WAPENZI WACHELEWAJI UNADHANI IPI NI SILAHA YAKO YA KU R.I.P

Huyu unamuibukia kesho yake asubuhi saa mbili mbili hivi. Atakua hoi kalala kwa kukesha usiku wote anakusubiri. Unampa dose yake ya Morning Glory mwenyewe anaingia jikoni na kukutaarishia breakfast ya nguvu na mazagazaga yake.

cc [MENTION]Watu8, Preta, Moneystuna[/MENTION]
 
UKIFUNGUA MLANGO TU..UNAKUTANA NA HICHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…