Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,460
- 987
Kama ifuatavyo:-
1.Wakati ana mgogoro na mpenzi wake, jaribu ni rahisi sana..
2.Anapokuwa mbali na mpenzi wake umbali ambao haufikiki mara kwa mara, kama mikoani au hata nje ya nchi, mbona utakula sana si unajua "Fimbo ya mbali haiuwi Nyoka" ila sasa land lord akirudi inabidi uwe mpole sawa eee!!..
3.Anapokuwa mpweke kwa muda mrefu, Si wanasema kimya kirefu sjui nini, aaghhrr!! baadae nikikumbuka..
4.Matatizo kama vile maswala ya kifedha na uchumi, hata kama ana mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake ata yumba tu, wengi wao hapa hujirahisisha, Sasa kama hauna Capital jiandae..
5.Wengine ni tabia yao tu, kila mwanaume kumpa pipi, yani hajui kumkatalia mtu huwa munasemaje vile eee..
"Maji mara moja "
6.Akiwa katika sehemu za starehe na anasa kama vile Baa, Night clubs, na hata sherehe, yani hapa wengi huwa wanafanya mambo kulingana na hali iliyopo
7.Mazingira mapya, kama vile sehemu za masomo, kazi si unajua ugeni sio kitu chema, sasa akifika mpokee na mkarimu vizuri, aki! atasahau hata alipotoka