hapo umeniacha...au sijazigumia hizi code!!!Ndugu yangu we acha tu! Yaani siku hizi hasa wadada wamezidi kuna zile suruali zao za kubebea makalio kila mmoja mjini ndio vazi.
hapo umeniacha...au sijazigumia hizi code!!!
Naona bora tu tutembee uchi tushangaane vibamia na vipapuchi.:bange::banplease:
Kwa utaratibu huu ni mzungukohivi ile mnayoita evolution huwa ni linear au mzunguko!?
Watu Wawe Wana Rahatupuika
tunarudi tulikotoka kutembea uchi
Wacha sisi wastaarabu watushangae
Nguo za kustiri mwili zitakuwa hazipo madukani na wewe utavaa izoizo
Kama mzunguko imefika muda wa kugeuka nyanihivi ile mnayoita evolution huwa ni linear au mzunguko!?
ha ha ha hii hatare...halafu ukiwasshangaa na wao wanakushangaa hadi unaamua kuwapotezea..Kwani huoni wakivaa zile suruali zao makalio yanakua kama yametiwa kwenye mfuko wa nylon?
yani nitafurahi kuonyesha mikono yangu...Na wewe ndo unafurahia
Kutokana na ongezeko kubwa la watanzania(wakubwa na wadogo),kuvaa mavazi yanayoacha nje sehemu kubwa ya miili yao kama makalio,matiti.mapaja naona muda si mrefu kundi hili litaibuka washindi na itafika wakati wewe utakaevaa nguo za heshima ndo utaonekana kituko na watu watakushangaa.
Wapi inaelekea jamii ya leo.