Muda kama huu mwaka 2009

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,093
Reaction score
15,209
Tarehe kama ya leo na saa kama hii, niliamua kujiunga JamiiForums. Nadhani nimeshiriki kumsaidieni na hapa kuna baadhi ya mambo Jamii imenisevu.

Haya vijana semeni Shikamooo babuuu
:becky::becky:
 
mimi miaka hiyo ndo tulikuwa wafanya fujo wa The grid,...baada ya jf kunishinda kuregister
 
Mida kama hii nipo zangu class nakula pindi la Maths baada ya kupiga uji wa saa 10:20 am!! naangalia huku na huku nitoroke nikacheze pulltable! mo town!
 
Nilikuwa najiandaa kurudi chuo baada kufukujuzwa kurudi mtaani katika kunji ili nimalizie undergraduate yangu pale UDSM
 
Tarehe kama ya leo na saa kama hii, niliamua kujiunga JamiiForums. Nadhani nimeshiriki kumsaidieni na hapa kuna baadhi ya mambo Jamii imenisevu.

Haya vijana semeni Shikamooo babuuu
:becky::becky:
Ah weweeee! Hongera kwa kudumu JF. Tangu wakati hu, umekula ban ngapi? Halafu hiyo shikamoo babuuu sikupi hiyo ni salamu ya Invisible! ambaye alikutangulia kwa miaka mitatu!
 
Ah weweeee! Hongera kwa kudumu JF. Tangu wakati hu, umekula ban ngapi? Halafu hiyo shikamoo babuuu sikupi hiyo ni salamu ya Invisible! ambaye alikutangulia kwa miaka mitatu!
Nimekula ban moja tu Mkuu mwezi huu huu muda mfupi baada ya kugusa jani.
 
Tarehe kama ya leo na saa kama hii, niliamua kujiunga JamiiForums. Nadhani nimeshiriki kumsaidieni na hapa kuna baadhi ya mambo Jamii imenisevu.

Haya vijana semeni Shikamooo babuuu
:becky::becky:

sasa nawewe niamkie mimi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…