wasalaam wana chit-chat
Najua unajua ila me nakujuza kuwa muda huu huu unaposoma hii thread kuna mtu anakata roho
mda huu huu kuna mtu anafanyiwa upasuaji
muda huu huu kuna mtu yuko chooni anakata Gogo
muda huu huu kuna ajali inatokea
muda huu huu kuna unapoisma hii thread kuna watu wanagegedana
muda huu huu kuna mtu ananyoa vuz
endeleza yako,hii si chit-chat