Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Labda unaishi Sudan au upo nje ya nchi.Nina miaka mingi sijaona tbc kumbe bado ipo
Mie kifurushi cha Azam kikiishaga muda wake ikabaki TBC tu hua nahesabiaga hakuna kilichobaki,Asanteni sana wahusika.
Sisi wenye dstv inabidi tuangalie chefeko chereko la sivyo tuangalie wakata viuno sound city.
Au wacheza uchi sound city
Tunashukuru
Hivi kwanini wamefungia local tv pekee? Kama kuna kanuni wamekiuka si wangezuia chaneli zote? Nisaidieni nipo gizani
TunalazimishwaInasikitisha sana...
Bila kusahau na ziara za viongozi... wa chama kilichoshika dola...
Mwendo wa vipindi vya nje tuu...
Habari tutazipatia JF...
Cc: mahondaw
waziri angefafanua kuwa channel moja ni bei gani?Kwa Mujibu wa sheria zilizopo mmiliki wa King'amuzi Ana hiyari Ni channel zipi ziwepo kwenye King'amuzi chake Na zipi zisiwepo lakin ulizochagua ziwepo Ni lazima Uzioneshe Hata Kama wateja wako hawajalipia
Wamiliki wa ving'amuzi wameamua kumwaga mboga Kwa kutoa local channel karibia zote Baada ya TCRA kuwalazimsha waoneshe bure Na Azam kuzuia kuonesha Habari Kwa Kuwa Sio maudhui waliyosajiliwa nao
Waziri kakurupuka Eti wawarudishie pesa zao wateja
Mkataba wa mteja Na king'amuzi ni Kwa zile channel Za kulipia Na Bado zinaoneshwa Wao wamezitoa Za bure iweje warudishe pesa
TCRA inabidi wakae mezani Kama wanataka suluhu Sio kutoa Amri
Ha ha hHahahaha nimemwona jiwe kwenye chereko muda huu anasema anafahamu kipnd cha sherehe kinatazamwa na wengi.
Haahaa wajuzi watakujibuHivi Ikulu wanatumia kin’gamuzi gani?
ni dstv mkuu walipewaga bureHivi Ikulu wanatumia kin’gamuzi gani?
Si ndio akili zenu maccm, kukurupuka tu kila wakati!Kwa Mujibu wa sheria zilizopo mmiliki wa King'amuzi Ana hiyari Ni channel zipi ziwepo kwenye King'amuzi chake Na zipi zisiwepo lakin ulizochagua ziwepo Ni lazima Uzioneshe Hata Kama wateja wako hawajalipia
Wamiliki wa ving'amuzi wameamua kumwaga mboga Kwa kutoa local channel karibia zote Baada ya TCRA kuwalazimsha waoneshe bure Na Azam kuzuia kuonesha Habari Kwa Kuwa Sio maudhui waliyosajiliwa nao
Waziri kakurupuka Eti wawarudishie pesa zao wateja
Mkataba wa mteja Na king'amuzi ni Kwa zile channel Za kulipia Na Bado zinaoneshwa Wao wamezitoa Za bure iweje warudishe pesa
TCRA inabidi wakae mezani Kama wanataka suluhu Sio kutoa Amri
Nijaze bei gani niangalie mpira?Mkuu una Dstv halafu unatizama TBC...lengo la DSTV ni mpira aisee jaza kifurushi uangalie burudani ya mpira
Mkuu una Dstv halafu unatizama TBC...lengo la DSTV ni mpira aisee jaza kifurushi uangalie burudani ya mpira