muda gani unafaa kuoa au kuolewa?

Says who? Mi nawafaham wengi ambao wamesha vuka miaka 30 na wala hawajajiskia kuolewa.
Wengi wao ukikaa nao utagundua kichwani mwao hawana wazo la kuwa dependant kwa mwanaume na wanakuwa wana plan zao wao kama wao na kama akitokea mtu wa kufunga ndoa wanachofanya ni kutimiza maagizo ya dini lakini hao wanaopenda kufunga ndoa below kuna ambao akili zao wamezi-tune kuwa dependant kwa mwanaume japokuwa wengine huwa wana mawazo huru "unamkuta mtu anasema mie nikifika 28 yrs naolewa kama vipi nazaa nisizeeke"(kwa mtindo huu lazima huyu atakuwa attachment kwa mwanaume once atapojitokeza na kujilazimisha kuolewa
 
Muda wowote ukiwa tayari kimwili, kiakili, kiuwezo bila kusahau umri urioruhusiwa na sheria za nchi.

Hakuna ubishi hapo Catherine kwa maneno mengine naweza sema NDOA NI RIDHIKO LA NAFSI na isifanyike kwa kuwa age mate wako wengi wameolewa basi na wewe unafuata mkumbo utaangukia kwa watu ambao si chaguo lako kwani unaweza kum-force mwanaume ambae alikuwa hajajiandaa kisaikolojia kuwa na jiko alafu mwisho wa siku mnashindana mbele ya safari
 
Last edited by a moderator:
Wengi wao ukikaa nao utagundua kichwani mwao hawana wazo la kuwa dependant kwa mwanaume na wanakuwa wana plan zao wao kama wao na kama akitokea mtu wa kufunga ndoa wanachofanya ni kutimiza maagizo ya dini lakini hao wanaopenda kufunga ndoa below kuna ambao akili zao wamezi-tune kuwa dependant kwa mwanaume japokuwa wengine huwa wana mawazo huru "unamkuta mtu anasema mie nikifika 28 yrs naolewa kama vipi nazaa nisizeeke"(kwa mtindo huu lazima huyu atakuwa attachment kwa mwanaume once atapojitokeza na kujilazimisha kuolewa
Nope! kuna wengi ninao wajua wanaolewa kwa sababu ya mapenzi, they just feel ready at that time. Na wengine wanaamua kuzaa hata kabla ya 25. Sijabisha kua kuna ambao wako hivo, but not all women are as painted in this thread. and in the absence of statistics, we can't even say it is the majority of women!
 
Takwimu ni ngumu kuzipata ila kwa observation tu ya jamii tunayoishi kwa kuwa na sisi ni sehemu ya jamii pia tuna wazazi, ndugu na marafiki (hapo ulipo-bold na kama alivyochangia Catherine), kinacholeta shida hapa ni kwamba wenye matatizo katika mahusiano katika jamii zetu tunazotoka wanapaza sauti kiasi kwamba ukubwa wa tatizo na hofu inaingia hasa kwa watu ambao hawajaingia kwenye uwanja huu na kuonekana ni wanawake wengi lakini kiukweli ni kawaida.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom